KUJIUZULU KWA MWANA DIPLOMASIA WA MAREKANI.
Wizara ya
mashauri ya nchi za kigeni ilisema kuwa naibu Balozi David Rank ambaye ni mwana diplomasia wa cheo cha juu wa Marekani nchini China ajiuzulu kufuatia
madai ya kuwa hakukubaliana na sera za mabadiliko ya hali ya hewa za rais Donald Trump.
Vyombo vya
habari nchini Marekani vimesema kuwa Bwana Rank amejiuzulu kufuatilia tangazo
la Trump wiki lililopita lililokuwa linasema kuwa Marekani inajiondoa kutoka kwa
makubaliano ya Paris hatua ambayo itasaidia kulinda uchumi wa nchi hiyo tangazo ambalo lilizua hisia
tofauti duniani kote.

No comments: