KATY PERRY KUSHIKA NAFASI YA KWANZA DUNIANI KWA KUWA NA WAFUASI WENGI.
Msanii wa Marekani Katy Perry amekuwa mtu wa kwanza duniani kupata wafuasi milioni 100 katika mtandao wa Twitter.

Mtandao huo ulichapisha kanda ya video inayoonyesha jumbe zake zote tangu alipojiunga na mtandao huo pamoja na ujumbe unaosema "Today, we #WITNESS history"{Leo #Tumeshuhudia Historia} Witness ni jina la albamu mpya ya Perry.
Naye mwimbaji wa Canada Justin Bieber ameshika nafasi ya pili kwa kuwa na idadi kubwa ya wafuasi katika mtandao huo akiwa na wafuasi milioni 96.7
Huku rais mstahafu wa nchini Marekani Baraka Obama amekuwa wa tatu kwa kuwa na wafuasi milioni
No comments: